TFDA ilitoa taarifa kwamba mafuta ya ubuyu hayafai kwa matumizi ya binadamu kwa sababu yana kiwango kikubwa cha tindikali ya mafuta aina ya Cyclopropenoic fatty acids.Pia ilisema ili yaweze kukidhi vigezo vya ubora na usalama ni lazima yafanyiwe usafishaji wakati wa usindikaji na kwa sasa nchini hakuna aina ya usindikaji huo....PICHA KWA HISANI YA GAZETI MWANANCHI. |
No comments:
Post a Comment