Rais wa Ufaransa, Francois Hollande |
Mtu huyo aliekuwa na umri wa miaka 78 alitambulika kuwa ni Dominique Venner- mtaalamu wa historia ,maarufu kwa insha juu ya siasa za mrengo mkali wa kulia.
Imefahamika kwamba ujumbe alioucha kwenye tovuti yake umeishutumu hatua ya hivi karibuni ya kuipitisha sheria inayoruhusu ndoa za njia sawa nchini Ufaransa.
Maalfu ya watalii waliokuwapo kwenye kanisa hilo ambalo ni kivutio maarufu cha kitalii waliondolewa kufuatia kujiua kwa mtu huyo.
No comments:
Post a Comment