Umoja wa Afrika unafikisha miaka 50 tangu viongozi wa Afrika walipokusanyika na kuunda umoja wa nchi zao. Viongozi wa mataifa hayo watakutana mwishoni mwa juma hili kusherehekea mafanikio ya hapa na pale na kukiwa bado na juhudi za kuliunganisha bara hilo. Umoja wa Afrika wenye wanachama 54 hivi sasa ni mrithi wa uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika , OAU, ulioanzishwa mwaka 1963 wakati ambapo mataifa ya Afrika yalikuwa yakipata uhuru kutoka kwa wakoloni.
Marais waasisi wa OAU katika picha ya pamoja |
No comments:
Post a Comment