Front page

MATANGAZO

KARIBU

Saturday, April 13, 2013

TAMASHA KUUUBWA LA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA EDWARD MORINGE SOKOINE, WAZIRI MKUU WA TANZANIA ALIYEFARIKI MIAKA 29 ILIYOPITA AKITOKEA BUNGENI DODOMA KWENDA DAR ES SALAAM. PICHA ZOTE NA BASIL ELIAS WA JAMBO FESTIVAL BLOG.


ACHA WEWEEEEEEEEEEE...KAZI KWELI KWELI.




HIGH TABLE.......FROM LEFT, MINISTER PENINA MKANGARA, EDWARD LOWASSA MP OF MONDULI, SENDEKA MP OF SIMANJIRO AND SOKOINE LOVELY DAUGHTER WHO IS ALSO A SPECIAL SEAT MEMBER OF TANZANIAN PARLIAMENT MS NAMELOK.

MAMBO YA CHAKULA...

MSAADA , HUDUMA YA KWANZA...

NAMELOK SOKOINE WA KWANZA KULIA AKIWA NA SHADA LA MAUWA KATIKA MISA MAALUM YA KUMUOMBEA BABA YAKE ...EDWARD LOWASSA ANAONEKANA BAADA YA KAMERA AKIFUATIWA NA WAZIRI MKANGARA NA MKUU WA MKOA WA ARUSHA BWANA MULONGO.

Waziri wa Habari ,Utamaduni na Michezo Penina Mkangara akisoma risala katika siku ya kumbukumbu ya Edward Sokoine hapo jana.



Mbunge Sendeka wa Simanjiro -Manyara akikimbia katika mbio maalum....VIP..ilikuwa moja ya tukio lenye mvuto kuona wabunge wakichemsha vitambi.





TUNATAZAMA KWA MAKINI.....WANANCHI WA MONDULI WAKIWA KATIKA VITI VYAO KATIKA KUMUENZI MPENDWA WAO, EDWARD MORINGE SOKOINE.

GODBLESS LEMA KUSHOTO SAMBAMBA NA CHRISTOPHER OLE SENDEKA WAKICHEKA HUKU WAKISHUHUDIA MASHINDANO YA RIADHA.....NAO PIA WALIPATA NAFASI YA KUKIMBIA KILOMETA ZAIDI YA MBILI.

MBUNGE WA MONDULI AMBAYE PIA AMEWAHI KUWA WAZIRI MKUU WA TANZANIA BWANA EDWARD LOWASSA KULIA AKIFUATIWA NA WAZIRI HABARI NA MICHEZO PENINA MKANGARA, MKUU WA MKOA  WA ARUSHA MAGESA MULONGO NA VIONGOZI WENGINE WAKITAZAMA KWA MAKINI.

No comments:

Post a Comment