KARIBU SANA BALOZI WA UGIRIKI
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete
akimsindikiza Balozi wa Ugiriki nchini Mhe Elefthereios Kouvaritakis
baada ya kupokea hati zake za utambulisho na kisha kufanya naye
mazungumzo
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete
akimtambulisha Katibu Mkuu wa Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa
kimataifa Bw John haule kwa Balozi wa Bangladesh nchini Mhe Wahidur
Rahman baada ya kupokea hati zake za utambulisho.
No comments:
Post a Comment