Front page

MATANGAZO

KARIBU

Wednesday, April 3, 2013

JACKIE CHANDIRU AWACHARUKIA WALIMU


Jackie-Blu-3

Msanii wa muziki nchini Uganda, Jackie Chandiru safari hii amekuja tena kivingine baada ya kufanya kazi safi ambayo inabeba ujumbe wa kuwakomboa wanafunzi na kuwafanya waweze kujitambua.

Ujumbe huu ambao upo ndani ya video mpya ya Jackie, Salawo Salawo na ndani yake umeonyeshwa mfano wa Wanafunzi waliochukua hatua dhidi ya mwalimu wao mzembe na kumzuia kutoka darasani, na mwisho kuweza kutengeneza mazingira bora zaidi ya darasa lao.

Ujumbe wa wimbo huu pamoja na video yake unamweka star huyo sehemu nzuri kimuziki na hasa kwa mashabiki wake kutokana na kuwa na ujumbe mzuri na watofauti.

No comments:

Post a Comment