Annie na 2 Face |
Baada ya kufanya sherehe ya harusi iliyowavutia wageni na mastaa mbalimbali huko nchini Dubai,
wanandoa 2face na Annie Idibia wanatarajia kuanzisha familia.
Imeelezwa kupitia mtandao mmoja nchini nigeria kuwa wanandoa hao wameamua kuongeza mtoto baada ya mipango yao ya muda mrefu ya kufanikisha ndoa yao hiyo.
Itakumbukwa kuwa kabla ya wawili kufunga pingu za maisha tayari walikuwa wamekwishazaa mtoto wao wa kike mwenye umri wa miaka minne anayeitwa Isabella na taarifa zilizopo ni kuwa Annie tayari
ameanza kuonyesha dalili za kwanza za ujauzito.
No comments:
Post a Comment