Front page

MATANGAZO

KARIBU

Wednesday, April 3, 2013

UHURU KENYATTA NA RAILA ODINGA KUTOA SINGLE

raila+uhuru
odinga na uhuru
Studio maarufu ya Homeboyz iliyopo jijini Nairobi nchini Kenya ipo mbioni kutoa wimbo
utakaowashirikisha Raila Odinga na rais anayetarajiwa kuapishwa Uhuru Kenyatta.
Imeelezwa kuwa wimbo huo ambao tayari umekwishaandikwa utakuwa ni kwa ajili ya kuhubiri amani
kupitia muziki na nyota watakoungana na viongozi hao wamo Ringtonme na Prezzo na hii ni baada ya
rapa Ringtone kumsapoti Uhuru katika kampeni za urais wakati Prezzo akimpa tafu Raila.


Wimbo huo ambao unasubiriwa kwa hamu na mashabiki mbalimbali umebatizwa jina ‘Solidarity Forever ‘ na huenda ukatoka siku za hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment