TTCL NA MAMBO YA MWAKA MPYA
Afisa Mkuu wa Masoko na Mauzo wa kampuni ya Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Peter Ngota (kushoto), akikabidhi zawadi ya mwaka mpya kwa Bi. Stella Mwambenja (kulia), afisa toka moja ya vituo vilivyopata zawadi ya mwaka mpya, KIWOHEDE, jijini Dar es Salaam jana. Wa pili kushoto ni Kaimu Afisa Mkuu Idara ya Fedha katika kampuni hiyo, Bw. Alinanuswe Mwakitalima.
No comments:
Post a Comment