NGUMI ...Oh VITA NI VITA !..
Bondia Fransis Miyeyusho akimsukumia makonde mazito mpinzani wake,Bondia Joshua Amukulu kutoka nchini Kenya katika mpambano wao wa kufunga mwaka 2013 na kukaribisha mwaka mpya wa 2014, uliofanyika katika Ukumbi wa Msasani Klabu,jijini Dar es salaam.Miyeyusho alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya pili ya mchezo
No comments:
Post a Comment