Front page

MATANGAZO

KARIBU

Sunday, December 8, 2013

Mzee Mandela amenukuliwa akisema ...kukaa gerezani ni Fursa nyingine ya kujisomea .....Je wewe ambaye uko huru uraiani unapata muda wa kujisomea na kujifunza kitu kipya ?...


Maktaba ya kisasa , mpya kabisa Wilayani Mbulu ambayo inakusudia kurudisha utamaduni wa kujisomea kwa watanzania ambao ulishika kasi miaka ya 70 na 80 kisha kuanza kufifia....Pongezi kwa Msimamizi Mwandamizi, mama Colleta Temba ambaye hakika ameifanya Maktaba hii kuwa gumzo mjini Mbulu...
Muonekano wa baadhi ya maeneo wilayani Mbulu mkoani Manyara...Heshima ya kutosha kwa mwanahabari Paul Joseph Alagwa wa Radio Habari Njema-Mbulu.


No comments:

Post a Comment