Monday, December 23, 2013
michezo ya jadi.......
Katibu wa Mchezo wa Karaka Wilaya Chake chake Bwana Amour Khamis Haji akipokea msaada wa Karata kutoka kwa Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi tayari kujiandaa na vugu vugu la michezo ya kusherehekea nusu karne ya Mapinduzi ya Zanzibar.Mama Asha pia alikabidhi mabusati manane kwa vilabu hivyo vya michezo ya ndani kisiwani Pemba hafla iliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Gombani Kisiwani Pemba. Picha na Hassan Issa wa OMPR – ZNZ.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment