IMETOKEA ZAMANI LAKINI KUNA SOMO NDANI YAKE!.
Mbunge wa mmojawapo wa Songea Ali Yusuf Abdurabi alifungwa miaka 9 jela. Kosa lilikuwa ni kukutwa na PEMBE ZA NDOVU maarufu kama meno ya tembo yaliyojaa kwenye Landrover tu. Na system yetu ya
ulinzi iliweza kubaini uhalifu huo huko huko Songea, leo mpaka Wachina
wanakamatwa na makontena ya meno yetu ya tembo bandarini. Tujisahihishe
ili tusonge mbele. Picha hii ni ya kwenye maktaba yaMJENGWA.
No comments:
Post a Comment