Watanzania wametakiwa kutathmini athari
kubwa zitakazolikumba taifa iwapo TEMBO na wanyama wengine watatoweka nchini.
Hayo yamesemwa jana na
Meneja wa Uhusiano na Mawasiliano wa Mamlaka
ya hifadhi za Taifa (TANAPA) PASCHAL SHELUTETE wakati akizungumza na waandishi
wa habari wakati akitangaza tuzo za wanahabari kuhusu habari za kuhamasisha
utalii wa ndani pamoja na utunzaji na uhifadhi wa rasilimali zilizomo hasa
wanyama.....PICHANI NI BAADHI YA WANAHABARI WA MKOANI ARUSHA WAKIONGOZWA NA MWENYEKITI WA ARUSHA PRESS CLUB WA PILI TOKA KUSHOTO MSTARI WA MBELE WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI NDUGU SHELUTETE ANAYEONEKANA PICHANI CHINI.....KUSIKIA SAUTI YAKE KUHUSU ZAWADI ZA TUZO HIZO BONYEZA CHINI USIKIE .....
No comments:
Post a Comment