MAESTRO VUMBI APAGAWISHA SWEDEN...HUU NI USIKU WA JANA KATIKA UKUMBI WA Söder Mälarstrand AMBAPO MKONGWE HUYU WA ENZI ZA MAQUIS AKIWA NA DAMU CHANGU MCHANGANYIKO KINA ....waimbaji ni Bobo Sukari na Lady Neema, drums ni Henry Matano, keyboard ikishikwa na Blanchard Boto huku gita zito la besi likiungurumishwa na Joe Semafumu. Usiku wa jana ulitosha kuwaweka WAZUNGU ROHO JUU....USICHEZE NA GITA LA VUMBIIIIIIIIIIIIIII....
No comments:
Post a Comment