Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Ujenzi John Pombe
Magufuli(watatu kushoto),Mbunge wa Bariadi Mhe. Andrew
Chenge(kushoto)pamoja na viongozi wengine w akifunua kitambaa kuashiria
kuweka jiwe la msingi na kuzindua ujenzi wa Barabara ya Bariadi-Lamadi
yenye urefu wa kilometa 71.8 huko enelo la Old Maswa mkoa mpya wa
Simiyu.
No comments:
Post a Comment