jambo festival 2013 ilikuwa gumzo...angalia baadhi ya picha za wadau mbalimbali waliopendezesha na kufanikisha tamasha hilo....Picha ya kwanza juu kutoka kushoto ni mdau muongea hamasa TED MUTURI toka Kenya akifuatiwa na mwenyetiki wa kamati ya maandalizi ya tamasha la jambo ambaye pia ni Mkurugenzi wa IDEA AFRICA, kampuni ambayo huandaa tamasha la JAMBO pamoja na kumiliki blog hii ndugu AGUSTINE M NAMFUA akitabasamu pamoja na wadau wengine.
No comments:
Post a Comment