Front page

MATANGAZO

KARIBU

Thursday, June 13, 2013

MAISHA YANAENDELEA, TUNATAFITI , TUNAJADILI LAKINI PIA TWAPATA FURSA YA KUBURUDIKA....

Mjomba band ya Mrisho Mpoto ikiwa live katika moja ya mikutano jijini Arusha.
Moja ya mikutano ya kijiji kujadili maendeleo.
Toka kushoto, mwanahabari Hamisi Abtway, (HAAZU ) wa MAMBO JAMBO RADIO,  Baraka Sunga (Mhariri Mtendaji wa JAMBO FESTIVAL OFFICIAL BLOG) na Augustine Michael Namfua ambaye ndiye Mkurugenzi Mtendaji wa IDEA AFRICA lakini pia ni mwenyekiti wa TAMASHA LA  JAMBO wakikagua moja ya maeneo maalumu kwa tamasha la Jambo 2013.

No comments:

Post a Comment