MWANAHABARI ONESMO LOI WA SUNRISE RADIO ARUSHA, AKIANGALIA KWA MAKINI MAJI AMBAYO WAKAZI WA ENEO LA EMERETE WANATUMIA KWA SHUGHULI ZAO ZA KILA SIKU IKIWEMO MAJI YA KUNYWA...PICHANI CHINI BINTI MWENYEJI WA KIJIJI HICHO AKIENDELEA KUFUA NGUO HUKU KAKA E.GUTA MWANAHABARI WA SUNRISE TOKA DODOMA NA MWAJUMA ERNEST WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI ALIPOKUWA AKIWASIMULIA HATARI ILIYOPO HAPO KWANI WANYAMA KAMA SIMBA, TEMBO NA FISI HUJA KUNYWA MAJI MUDA WOTE NA KUWASHAMBULIA WAKAZI. |
No comments:
Post a Comment