22 Aprili, 2013 - Saa 13:48 GMT
Nchini Senegal, miereka ya
kitamaduni inapendwa zaidi kuliko soka huku wachezaji wakijipatia pesa
nyingi na hata kuwa watu maarufu. Katika sehemu nyingi za nchi mchezo
huu ni wa wanaume pekee lakini katika maeneo ya mashinani , hususan
Kusini mwa nchi, kuna historia ndefu ya wanawake kushiriki miereka na
ndio maana timu yua taifa inajumuisha watu kutoka eneo hilo. Picha na
maelezo: Laeila Adjovi.
No comments:
Post a Comment