Front page

MATANGAZO

KARIBU

Saturday, April 13, 2013

NI KAMA STREET MDUNDIKO VILE!!!!!!!!!!!!!.KUPITIA TAMASHA KUBWA LA SANAA NA UTAMADUNI LIITWALO JAMBO FESTIVAL, UTAPATA BURUDANI KAMA HIZI ZA MAKABILA MBALIMBALI KATIKA ILE STREET MDUNDIKO, PIA UTASHIRIKI KATIKA KULA VYAKULA VYA ASILI, FASHION SHOW YA VAZI LA KITAMADUNI, MIDAHALO KUHUSU SANAA NA UTAMADUNI SAMBAMBA NA KUTEMBELEA KATIKA ENEO MAALUM ILI KUUZA AU KUNUNUA KAZI ZA SANAA KWA GHARAMA NAFUU.

Sanamu ya Mwalimu Julius Nyerere katika taasisi ya Sayansi ya Nelson Mandela , Arusha


Adam Rashid Sunga akimwelekeza Unambwe Kiwandai Mafie jinsi  gani kabila la Wakwere hufanya tiba na matambiko yao kiasili. Tukio hili lilifanyika katika kijiji cha Makumbusho ya Taifa -Dar es Salaam

WASANII WA KABILA LA WAMAKONDE WAKIWABURUDISHA WATU WANAOTEMBELEA KATIKA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO JIJINI DAR ES SALAAM-TANZANIA.


1 comment: