Front page

MATANGAZO

KARIBU

Wednesday, April 24, 2013

Mshukiwa wa barua ya sumu aachiwa huru

Serikali ya Marekani imefuta mashitaka yote dhidi ya mtu mmoja aliyeshukiwa kutuma barua iliyokuwa na sumu kwa maafisa kadhaa akiwemo Rais Barack Obama. 

Taarifa mpya zimewawaongoza wapelelezi kufanya uchunguzi mwengine.  Mtu huyo, Paul Kevin Curtis, mkaazi wa Mississippi, alifutiwa mashitaka yote Jumanne, na hakuna maelezo yoyote yaliyotolewa na serikali juu ya kukamatwa au kuachiwa kwake.

No comments:

Post a Comment