Makamu wa Rais Dr Gharib Bilal mwenye (mvi) akishangaa maandalizi ya chakula cha kabila la wafipa, huku waziri mkuu Mizengo Pinda akisikiliza kwa makini kuhusu maisha ya jamii ya wafipa na vyakula vyao.....Pichani chini ni bibo na korosho huko Mtwara.... |
No comments:
Post a Comment