Front page

MATANGAZO

KARIBU

Wednesday, February 26, 2014

SANAA BWAGAMOYO!!!....

TAMASHA la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo ambalo kwa mwaka huu (2014) litakuwa la 33, ambapo linatarajia kulindima kwa siku saba, kuanzia Septemba 22 hadi 28, kwenye viunga vya Chuo cha Sanaa Bagamoyo. Tamasha hilo la 33, mwaka huu, lenye kauli mbiu, "Sanaa na Utamaduni katika kukuza Utalii", limekuwa msaada mkubwa kwa wasanii na vikundi mbali mbali kujitangaza kitaifa na kimataifa pamoja na kutoa fursa za kibishara katika kipindi chote cha tamasha....mjengwa blog


No comments:

Post a Comment