Front page

MATANGAZO

KARIBU

Monday, February 24, 2014

Mkuu wa wilaya ya Arusha John Mongela ( kulia mwenye shati la kitenge ),akisimamia oparation maalum ya ubomoaji wa maduka yasiyo kuwa na leseni pamoja na vibanda holela yya biashara ....Mali zote zilizokutwa ndani ya vibanda hivyo zilipelekwa dampo kama uchafu mwingine!....Picha na Lucas Myovela.




No comments:

Post a Comment