Eneo la Norfolk ilipoanguka Helkopita ya Jsehi la Marekani
![]() |
Eneo la Norfolk ilipoanguka Helkopita ya Jsehi la Marekani |
Vikosi vya uokoaji na wanajeshi bado wapo katika eneo la tukio kwa ajili ya uchunguzi zaidi huku raia wakiwa wamezuiwa kufika katika eneo hilo kwa usalama wao dhidi ya athari zinazoweza kusababishwa na mabaki ya silaha zilizokuwa katika helikopta hiyo.Eneo lenye ukubwa wa mita 400 katika pwani hiyo ya Norfolk limewekewa vizuizi, ambapo afisa wa polisi Sarah Hamlin wa kituo cha polisi cha Norfolk, ametahadhalisha raia kutofika eneo hilo kipindi hiki cha uchunguzi.
No comments:
Post a Comment