Front page

MATANGAZO

KARIBU

Sunday, December 29, 2013

VODA WAWATIMUA ARUSHA!...

Mshindi wa Promosheni ya Timka na boda boda wa Mkoa wa Arusha Bi.Anna Ombela akikabidhiwa ufunguo na kadi ya pikipiki yake aliyojishindia katika Promosheni hiyo na Meneja wa Vodacom Tanzania kanda ya Kaskazini Bi. Assumpta Malongo(kushoto)katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya stendi ya Nduruma hapo jana,Jumla ya washindi 13 wa kanda hiyo walikabidhiwa bodaboda zao
Meneja wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kaskazini Bi. Assumpta Malongo(kushoto)akimkabidhi funguo wa pikipiki yake mshindi wa Promosheni ya Timka na Bodaboda wa Mkoa wa Arusha Anna Ombela, katika hafla fupi iliyofanyika katika kituo cha mabasi cha Nduruma hapo jana,Jumla ya washindi 13 wa kanda hiyo walikabidhiwa bodaboda zao.

No comments:

Post a Comment