Front page

MATANGAZO

KARIBU

Saturday, December 7, 2013

Mandela akiwa Dar baada ya kutoka gerezani

Mwalimu Julius Nyerere akiwa na mgeni wake Nelson Mandela (kushoto) na Winnie Mandela kwenye gari la wazi wakati wakiwasili kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Mandela alifanya ziara nchini mwaka 1990 baada ya kutoka gerezani.

No comments:

Post a Comment