.
Ndugu zangu,
Wengi wanakiulizia. Nimekikamata leo. Nimefurahi sana kuona kazi hii nimeikamilisha, na kwa kushirikiana na wengine waliotoa mchango wao kwa njia moja au nyingine.Uzinduzi utafanyika Makumbusho Ya Taifa, Shaaban Robert Street, Opposite na IFM. Kunzia saa tisa alasiri mpaka saa kumi na moja jioni JUMAMOSI. Wote mnakaribishwa!
Maggid.

No comments:
Post a Comment