Wednesday, November 27, 2013
WANAMITINDO KATIKA MCHUJO WA SWAHILI FASHION WEEK
Tarehe 24 Nov 2013 Swahili Fashion Week walifanya mchujo wa
kutafuta wanamitindo mbalimbali ambao wataonesha mavazi ya wabunifu
katika wiki ya maonesho ya mavaz ya swahili kuanzia tarehe 5 dec hadi
tarehe 8 dec 2013, wanamitindo mbalimbali walijitokeza kwa wingi kutaka
kushiriki kwa namna moja na nyingine katika maonesho hayo.Mgeni
rasmi alikuwa Herrieth Paul ambaye ni mwanamitindi maarufu Mtanzania
mwenye makazi yake nchini Canada, waliohudhuria maonesho hayo pia
alikuwapo Jamillah Vera Swai,(Mbunifu wa Mavazi), Gabriel Mollel
(Mbunifu wa mavazi), Pedaiah John (Mbunifu wa Mavazi), Honest Arroyal
(Mratibu wa mitindo na ubunifu SFW), Mustafa Hassanali (Mwanzilishi wa
Swahili Fashion Week) na Esi Mgimba (Afisa Habari na Mahusiano SFW)....MICHUZI BLOG
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment