Saturday, November 16, 2013
NCHI GIZANI
Meneja Uhusiano wa Shirika la Umeme
Tanzania (TANESCO) Badra Masoud akieleza kwa waandishi wa habari (hawapo
pichani) kuhusu kuwepo kwa upungufu wa umeme kwenye gridi ya Taifa
kuanzia tarehe 16 hadi 26 November, 2013 kutokana na upungufu wa gesi
kutoka katika Kisiwa cha Songosongo kilichopo Wilaya ya Kilwa, Mkoa wa
Lindi Unaosababishwa na Matengenezo ya Kiufundi kwenye visima vya gesi
unaofanywa na Kampuni ya Pan Afrika ili kuboresha upatikanaji wa gesi ya
kutosha kwenye visima hivyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment