Jina Dar es Salaam linatokana na '
Bandar el Salaam' kwa maana ya ' Heaven of Peace'. Sultan Majid ndiye
aliyenga bandari ya Dar es Salaam mwaka 1866. Ni bandari kongwe. Na
bandari ni uchumi wa nchi. Afrika ukiona bandari inayumba, basi, na
uchumi wa nchi nao utayumba. Na wezi wakipewa bandari waiongoze, basi,
ni sawa na kuwakabidhi panya kazi ya kulinda ghala la mahindi.
Utaambulia pumba...MJENGWA BLOG
No comments:
Post a Comment