Naibu Waziri wa TAMISEMI Agrey Mwanri akizungumza na Kamanda wa Polisi Mkoani Kilimanjaro ACP Robert Boaz wakati wa sherehe za uzinduzi wa Kampeni ya Baraka za utii wa sheria Bila shuruti zilizoandaliwa na Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste nchini (PCT) katika viwanja vya Mashujaa mjini Moshi.Kulia ni Mratibu wa kampeni hiyo kitaifa Issaya Zenobius (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi,Kilimanjaro) |
Wednesday, July 17, 2013
MWANRI AONGOZA UZINDUZI WA BARAKA ZA UTII WA SHERIA BILA SHURUTI-KILIMANJARO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment