Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na
Usalama na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa ameongozana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,
Jenerali Davis Mwamunyange pamoja na Wakuu Wengine wa Vyombo vya Ulinzi
na Usalama akiwemo Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja
alipokuwa akitembelea sehemu walipozikwa Mashujaa wa Vita vya Kagera leo
Julai 25, 2013 katika Kikosi cha Jeshi cha Kaboya, Mkoani Kagera(Picha
na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
|
hapa
akizungumza na baadhi ya wananchi nchini.....tarehe 25 Julai ni SIKU YA
MASHUJAA, JAMBO FESTIVAL INAAMINI KUWA HATA MWALIMU JK NYERERE ALIKUWA
SHUJAA KWANI ALISIMAMA IMARA KATIKA KILE ALICHOKIAMINI...LEADERSHIP IS
WALKING THE TALK. |
|
No comments:
Post a Comment