Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), Dk Charles
Msonde akitangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita kwa mwaka 2013,
kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana. Picha na Fidelis
Felix.
Akitangaza matokeo hayo jana, Kaimu Katibu
Mtendaji wa baraza hilo, Dk Charles Msonde, alisema watahiniwa 50,611
walifanya mtihani huo na kati yao 44,366 sawa na asilimia 87.85,
wamefaulu. Mwaka 2012 wanafunzi waliofaulu mtihani huo walikuwa ni 46,658 sawa na asilimia 87.65.
No comments:
Post a Comment