Front page

MATANGAZO

KARIBU

Sunday, June 23, 2013

TUNAONGELEA RUZUKU ZA PEMBEJEO- WANANCHI HUKO MONDULI JUU WAKIZUNGUMZA NA WANAHABARI WA SUNRISE RADIO AMBAO WAMEANZA KUFUATILIA MFUMO WA UGAWAJI WA PEMBEJEO ZENYE RUZUKU TOKA WIZARANI HADI KWA WAKULIMA. UFUATILIAJI HUU WENYE LENGO LA KUHAMASISHA UWAZI NA UWAJIBIKAJI UMEFADHILIWA NA MFUKO WA WANAHABARI YAANI TMF.....KAZI IMEANZA, LENGO KUU NI UHAKIKA WA CHAKULA KWA TAIFA.

Baadhi ya wakazi wa Monduli juu wakiwa katika kijiji cha EMERETE wakizungumza na wanahabari wa SUNRISE RADIO kuhusu mfumo wa ugawaji wa STAKABADHI GHALANI hapo jana....Ufuatiliaji huu ambao utaanza rasmi mwezi wa Saba umefadhiliwa na Tanzania Media Fund-TMF.

Ndani ya SUNRISE RADIO , Kipindi ni NCHI YA KIJANI.....Tathmini kali ikiendeshwa na wanahabari ELIGIUS GUTA mwakilishi wa radio hii toka DODOMA sambamba na Onesmo Tarmo toka KARATU kuhusu lengo la Ufuatiliaji wa STAKABADHI GHALANI na jinsi utakavyonufaisha wakulima hasa wa ARUSHA, DODOMA, MANYARA na SINGIDA chini ya TMF..PICHANI CHINI moja ya viongozi akizungumza ofisini kwake kuhusu ugawaji huo wa ruzuku huku wana SUNRISE wakimfuatilia kwa makini. 



No comments:

Post a Comment