Moja ya milipuko ya Volcano karibu na makazi ya watu....picha toka kwenye mtandao. |
Chile na Argentina zimeanza zoezi la kuwahamisha watu takribani 3000, baada ya maafisa wa nchi hizo kutangaza hali ya tahadhari kutokana na kuongezeka kwa harakati za kivolkeno katika mlima wa Copahue ulio kwenye mpaka baina ya nchi hizuo.
Serikali ya Chile jana iliwahamisha watu 2000 wanaoishi katika eneo la km 25 kuzunguka mlima huo. Kwa upande wa Argentina, watu walianza kuhamisha Jumatatu wiki hii. Hata hivyo, mlima huo wa Volkano bado unafuka gesi, bado majib´vu hayajaanza kutolewa.
No comments:
Post a Comment