MWENYEKITI WA MADEREVA WA BODA BODA MKOANI ARUSHA BWANA GOODLIGHT LUGEMALILA AKISIKILIZA KWA MAKINI KUHUSU NINI KIFANYIKE KWA PAMOJA KATIKA MATUMIZI YA BARABARA. |
Kutoka kushoto Mhandisi Kakoko , bosi wa Tanroad mkoa wa Arusha, mkuu wa Wilaya ya Arusha John Mongella aliyesimama akizungumza katika semina hiyo na kulia ni jaji Aisha Nyerere. |
Jaji Mfawidhi Kanda ya Arusha Aisha Nyerere akichangia katika semina hiyo mapema leo katika ukumbi wa mikutano, jengo la ofisi ya mkuu wa Wilaya ya Arusha. |
No comments:
Post a Comment