Front page

MATANGAZO

KARIBU

Saturday, April 13, 2013

HII ILIKUWA KATIKA UZINDUZI RASMI WA TAASISI YA NELSON MANDELA JIJINI ARUSHA.

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DK JAKAYA MRISHO KIKWETE AKITABASAMU HUKU AKIANGALIA KWA UMAKINI MOJA YA DAWA ZINAZOTENGENEZWA NA WASOMI WA TAASISI HIYO INAYOTOA SHAHADA YA UZAMILI NA UZAMIVU YAANI MASTERS NA PhD.  KULIA NI MAKAMU MKUU WA CHUO HICHO PROFESA BURTON MWAMILA.
TAASISI HIYO PAMOJA NA MAMBO MENGINE, INAFANYIA UTAFITI KUHUSU TIBA ZA ASILI.........

No comments:

Post a Comment