Nchini Afrika Kusini Jana (26.03.2013) kumeanza mkutano wa mataifa
matano unaojulikana kama BRICS kujadliwa masuala ya kiuchumi.
Mkutano unaoyaleta pamoja mataifa matano yanayoibuka kuwa nguvu kubwa ya
kiuchumi Brazil,Urusi,India China na Afrika Kusini yanayojulikana kama
BRICS, unaanza leo nchini Afrika kusini huku viongozi wa matifa hayo
wakitarajiwa kujadili masuala ya kiuchumi yatakayoupa muungano huo nguvu
zaidi . Caro Robi amezungumza na mwanauchumi Ali Mutasa na kwanza
alimuuliza kundi hilo la BRICS lina uzito gani katika uchumi wa Dunia?
Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandsishi: Caro Robi
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman
Mwandsishi: Caro Robi
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman
No comments:
Post a Comment