Front page

MATANGAZO

KARIBU

Wednesday, April 9, 2014

AMERICAN BILLIONAIRE HOWARD BUFFET IN SERENGETI AND NGORONGORO An American Billionaire Howard Buffett is visiting Serengeti National Park and Ngorongoro Crater for a three days holiday after he was very much impressed by Tanzanian tourist attractions when he visited the country last month.

 
 

ujenzi bora wa mji huanza kwa mipango miji si mipango ya mjini!..Pichani ni mwanablog Mary Kisimaty akiungalia mji wa Arusha (JIJI) tokea eneo la mianzini-Mataa


Toyota yarejesha magari milioni 6

Toyota yaagiza magari milioni 6.5 kurejeshwa viwandani


Kampuni kubwa ya uundaji na uuzaji wa magari ya Japan, Toyota i meagiza magari milioni sita unusu kurejeshwa ilikufanyiwa ukarabati kutokana na upungufu mbalimbali.Idadi hiyo ya kurejeshwa magari ni kubwa mno kurejeshwa viwandani. Kampuni hiyo kubwa zaidi duniani ya uundaji magari inarejesha magari aina ya Yaris, Urban Cruiser, RAV4 na Hilux.

Kuna hitilafu katika kifuko cha hewa cha kumlinda dereva -(air bag) katika jumla ya magari milioni tatu, ikiwa haiwezi kuchomoka ili kimlinda dereva wakati wa ajali.Aidha kuna hitilafu pia katika baadhi ya viti, usukani na kifaa cha mota ya kuwasha magari. Kampuni ya Toyota inasema haijabaini ni ajali ngapi, majeruhi au maafa ambayo yamesababishwa na matatizo hayo yaliyogundulika majuzi.

Jumla ya magari 20,000 yanahitilafu ya mota ya kuwasha .Mwezi Februari , Toyota iliagiza magari milioni 1.9 aina ya Prius hybrid yaregeshwe kutokana na hitlafu iliyopelekea magari hayo kupoteza mwendo ghafla. Kwa Jumla magari milioni 25 yamearegeshwa katika kipindi cha miaka miwili u nusu iliyopita .